Monday, August 19, 2013

Jokate kuja na track yake..


Kutoka kwenye instagram ya Jokate amepost picha akiwa na Lucci ikiwa na maneno “I know he’s bad so bad for me”. Wiki hii kila siku Jokate atakuwa anatoa picha tofauti kama hizi akielekea kutoa video yake Ijumaa hii.

Mhe January Makamba ndani ya Fish Crab studio na Lamaar


Mbunge wa Bumbuli Mhe January Makamba hivi karibuni alienda Fish Crab kwa Lamaar, unadhani kaenda kufanya nini pale?. Kurekodi ngoma au?, Lamaar amesema kwamba Mhe January Makamba anamsaidia kupata idea za kutengeneza good music kwenye studio yake. Kumbe Mhe January Makamba anajua mambo music, itakuwa poa siku Lamaar atoe hiyo ngoma ambayo alisaidiwa idea ya kuitengeneza na Mhe January Makamba.

LULU IS BACK

Muigizaji wa Bongomovie a.k.a LULU yupo mbioni kuzindua filamu yake inayokwenda kwa jina la FOOLISH AGE atazindiliwa Mlimani city tarehe 30 mwezi huu kwa kiingilio cha elfu 30..Pia atasindikizwa na msanii nguli anayetambo na vibao kama Yahaya na Joto hasira..yeah kweli LULU IS BACK
LULU

MY HOOODS RUBYA