Monday, September 17, 2012

Picha za mtoto wa PIPI hizi hapa..

                           King stone .....nampenda sana ni post ya pipi katika page yake facebook

Huyu ndo mtoto KINGSTONE,mwanamziki Pipi leo ameweka wazi maana ya kumuita mtoto wake jina ilo
amefunguka kupitia East Africa Radio kipindi cha power jum ''Tumekaa na baba yake tukssmus tumuite mtoto jina la kingstone kwa maana king ni mfalme na stone ni jiwe kwa hiyo jina hili halimaanishi mji wa marekani"Amesema sana hayo msanii huyo anayesumbua na kibao cha UKO MBALI.

No comments:

Post a Comment