Sunday, September 9, 2012

RAIS KIKWETE KATIKA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA NCHI ZA UKANDA WA MAZIWA MAKUU, KAMPALA, UGANDA


Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipitia waraka wenye makubaliano kabla ya yeye  na wakuu wenzake wa Nchi na Serikali  za Ukanda wa Maziwa Makuu kuuweka sahihi baada ya mkutano wao uliofanyika Septemba 8, 2012 katika Hoteli ya Speke Resort Munyonyo mjini Kampala, Uganda.

No comments:

Post a Comment