![]() |
| Rais kikwete akivishwa skafu na scout baada ya kuwasili Muleba |
![]() |
| Wananchi wa Muleba wakimshangilia Rais Kikwete alipowasili wilayani humo |
![]() |
| Vikundi vya ngoma vikitumbuiza |
![]() |
| Rais akisalimiana na Mama wa Mbunge wa wilaya ya Muleba na Waziri wa Ardhi mama Anna Tibaijuka |
![]() |
| Mama Anna Tibaijuka aliamua kutumbuiza nae |
![]() |
| Rais Kikete akionge na viongozi wa wilaya ya Muleba baada ya kupata taarifa ya maendeleo akiwa na mawaziri watano alioongozana nao |
![]() |
| Waziri wa uchukuzi Dokta Harrison Mwakyembe akiwaahakishia viongozi wa wilaya ya muleba juu ya mpango wa serikari kuleta Meli za Abilia mbili katika ziwa victoria |
![]() |
| Rais KIkwete akipata maelezo ya mipango kabambe ya maji wilayani muleba |
![]() |
| Rais akizindua Mradi mkubwa wa maji |
![]() |
| Rais Kikwete akitoa hotuba kwa wananchi wa wilaya ya muleba |
![]() |
| Buruda ikiendelea |
Picha zote ni kwa hisani kubwa ya BUKOBA WADAU BLOGSPOT.













No comments:
Post a Comment