Wednesday, September 19, 2012

Rihanna copies Chris Brown's gold teeth, sparking more rumours they're getting back together

                                                   Rihanna and Chris Brown


Vimbwanga vinaendelea kati ya mastar wawili waliokua wapenzi Chris Brown na Rihanna.Baada ya Chris kuchora tattoo yenye sura ya mpenzi wake wa zamani Rihanna,sasa  mwanadada uyo ameamua kumuiga mwezie kwa meno yake ya gold tofauti na mawazo ya watu wengi kwamba rihana angekaa mbali na star uyo baada ya ile tatoo aliyojichhora ikionyaesha uso wa mrembo uyo ukiwa umechakazwa kwa kipigo alichompa,imekua kinyume na kuonekana bado ana mapenzi na mpenzi wake uyo.

No comments:

Post a Comment