Saturday, July 27, 2013

BLOGGER ODDY HAPA NDO ALIKUWA BUSY NA KUWEKA PEMBENI KWANZA KUHUSU KUWAHABARISHA

Huu ndo mji wa mbale nilipoenda kufanya majaribio yangu

Tumefika stand kila mtu choka mbaya siwezi sahau hiyo siko

Hapa tumeanza kuwajibika kwa siku ya kwanza station..wa kwanza kushoto ni blogger na wanafunzi wenzangu

Huyu kaka siwezi msahau alitusaidia sana kuanzia kutafuta habari kuziedi na kuzisoma hewani anaitwa Zavia ni mmoja wa watangazaji wa Top Radio Mbale

Mmmmh kila nikimuangalia uyu dada natabasamu tu alinifundisha vitu vingi kuanzia kuandika script na kupropose program,,,,i salute you my sisy Abigail

Hapa nimepewa script ya Taarifa ya Habari kwa Lugha ya Kiswahili Naitendea kazi

Nilipoalikwa kwenye talk show ya YOUTH ALIVE it was so mwaaah

Majadiliano yakiendelea ilikuwa bonge la furaha

Me n Abigail

Me and fello internee Mayeku

We usinipige picha niko busy mie

Ndani ya Never give up nawakilisha

Siku ya kuiga Top Radio na kurudi shuleni Shukurani zimwendee supervisor wetu Mr Nathani

me and my room mate shamirah

Me and Grolia a.ka. Mamy's doughter

Ntawamiss sana mabest

ooooow byeeee Top Radio

Byeeeeeeeeeeee MBALE town finaly Ndani ya Bus back to kampala
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kufanya field yangu na kuimaliza salama.Na pia nasshukuru uongozi mzima wa Top Media Group kwa wema wote walionitendea tangu nimefika hapo kituoni mpaka naondoka.Nawashukuru sana watangazaji woote wa TOP Radio mbale kwa ushirikiano wao wa dhati Mungu awape nguvu na afya njema ya kutumikia jamii.

No comments:

Post a Comment