Sunday, March 31, 2013

HAPPY ESTER KWENU WAPENZI WA BLOG HII

Nawatakieni Pasaka njema wapenzi wote wa blog hii..Ujumbe wangu kwenu ..
MUONEKANO WA KANISA CATHOLIC LUBAGA



Happy Ester

Mi mwenyewe bloger nikielekea kanisani
tusherehekee siku hii kwa amani na upendo,Na si kwa Ulevi na Uzinzi na vitu vingine kama ivyo,,,,Ni vizuri tukaungana na familia zetu tukasherekea sikukuu hii kwa kuonyeshana Upendo kama alivyo fanya mkombozi wetu YESU KRISTO.

No comments:

Post a Comment