Kristine Hermosa Orille (Amezaliwa tar. 9 Septemba, 1983 mjini Quezon City, Ufilipino) ni mwigizaji maarufu kutoka nchi Ufilipino. Hermosa alizaliwa na matabaka mawili, mama yake ni mwispania , baba yake ni mfilino.
Hermosa pia ana dada yake aitwae Kathleen, ambaye aliyekuwa na shauku
ya kuwa nyota wa ‘’ABS-CBN’’. Ingawaje, dada yake Hermosa alifeli
kumvutia mwamuzi katika uchgauzi wa kwanza wa wasanii, badala yake
akachaguliwa mdogo wake mrembo mwenye sura ya kuvutia iliopelekea
mwamuzi kumchagua, ni Kristine Hermosa, aliyechaguliwa kuwa msanii wa
‘’ABS-CBN’’.
Ilifikiriwa kuwa ni msanii mwingine tena mdogo mwenye urembo safi,
aliyepatia umaarufu wake katika tamthlia ya "Pangako Sa 'Yo" (Kwa kiing The Promise) ambayo ndio iliomjengea umaarufu mkubwa sana kwa kuigiza kama mpenzi wake Angelo Buenavista (Jericho Rosales).
Miaka ya mwanzo kabla Kristine kuwa maarufu, aligiiza kama Baron Geisler katika tamhilia ya Nagbibinata.
Baadae, alishriki katika mchezo mmoja wa kuigiza uliojulikana kwa jina
la "Sa Sandaling Kailangan Mo Ako", mchezo huo ulikuwa ukionyesha kila
siku za wiki, huku akiwa sambamba kabisa na mwigizaji mwenzake bwana
Marvin Agustin.
Beautiful....charming...i like the smile
Kama mi napewa nafasi ya celebrity wa kike mweny mvuto kwangu ni huyu hapa
Huyu ndo alikua mume wake wa kwanza Diethet Ocampo
Wife and Hubby....wooow.unawaonaje
Kristine na Oyo ndani ya mavazi meupe
Kristine akiwa na mme wake Oyo wakati wa ujauzito
Mnamo 21/9/2004 kristine alifunga ndoa na muigizaji mwenzake Diether Ocampo katika Timeless.Ndoa yao imedumu kwa miaka mitano ambapo walitengana 30/01/2009.Mwanzoni mwa mwaka jana yaani 12/01/2011 Kristine alifunga ndoa na Oyo Boy Sotto ambaye ndo Mume wake mpaka sasa hivi.Mpaka sasa kristine ana watoto wawili,mmoja akiwa anamlea na mwingine akiwa ni mtoto wake mwenyewe.
Great pictures, my dear I love your movies very much
ReplyDeletehttps://friendnzap.com/carine-angel/
https://friendnzap.com/carine-angel/