Mwanza ...mwanz ..mwanza....
Hapa ndo ujue kama ni jiji la mawe
Dogo akasema nataka nishike samaki mie..
Nikienjoy mwenyewe nda ya jiji la maji
Dogo janja mtoto brian katika pozi
Watu katika harakati za kuvuka maji
Feli kama unavoina mwenyewe ...
No comments:
Post a Comment