Saturday, July 27, 2013

Ziara ya Raisi Kikwete wilayani Muleba

Rais kikwete akivishwa skafu na scout baada ya kuwasili Muleba

Wananchi wa Muleba wakimshangilia Rais Kikwete alipowasili wilayani humo

Vikundi vya ngoma vikitumbuiza

Rais akisalimiana na Mama wa Mbunge wa wilaya ya Muleba na Waziri wa Ardhi mama Anna Tibaijuka

Mama Anna Tibaijuka aliamua kutumbuiza nae

Rais Kikete akionge na viongozi wa wilaya ya Muleba baada ya kupata taarifa ya maendeleo akiwa na mawaziri watano alioongozana nao


Waziri wa uchukuzi Dokta Harrison Mwakyembe akiwaahakishia viongozi wa wilaya ya muleba juu ya mpango wa serikari kuleta Meli za Abilia mbili katika ziwa victoria

Rais KIkwete akipata maelezo ya mipango kabambe ya maji wilayani muleba

Rais akizindua Mradi mkubwa wa maji




Rais Kikwete akitoa hotuba kwa wananchi wa wilaya ya muleba

Buruda ikiendelea

Picha zote ni kwa hisani kubwa ya BUKOBA WADAU BLOGSPOT.

No comments:

Post a Comment