Saturday, September 15, 2012

KUTOKA BUKOBA WADAU BLOGSPOT MMMH INATISHA.MDAU AUWAWA ACHUNWA NGOZI

 


 Kushoto ni daktari aliyedhibisha hali hii baada ya ukaguzi  akisaidiana na askari polisi kubeba mwili wa marehemu Beatha.
Tunaendelea kuwataka radhi wadau wasomaji  kuhusiana na matumizi ya picha hizi za kutishakutisha.
  Tukio hili limepelekea wananchi wa Kijiji cha Muhutwe kushambulia kituo cha polisi na kumshambulia mzee mmoja mkazi wa Kijiji cha Ntungamo- Izigo  aliyekua amekamatwa kwa kuhusishwa na sakata hili la uchunaji wa ngozi.

1 comment:

  1. washirikina maisha yao ni jahanam milele.hii ni dunia tunapita na kili mtu atalipwa kwa alilolifanya.
    laana za mungu ziwe juu yao kwa yoyote aliyeshiriki kufanya kitendo hicho.

    ReplyDelete