Tuesday, October 16, 2012

HAPPY BIRTHDAY DANIEL MANYA...

KEKI NDO IYO HBD DAN
Daniel,aunt Safina,Joy katika pose

marafiki wa dany

Wa kwanza kutoka kulia baba mzazi Dr John

Watoto wangu hao nimekuza eeh..


wakielekea kanisani

AUNT K ODDY KTIKAKATI NA MAJIRANI WEMA

mama na mwana wakiwa na furaha

Blogger/aunt oddy nalishwa keki kwa raha  zangu

Mtu na kakaake jamani joy na dany

mmmmmh aunt ode utazimaliza zote?? anauliza aunt idda

Aunt oddy akitoa zawadi kwa baby boy dany
Watoto wakipata chakula na wmwenzao daniel..


Wakubwa nao wakipata msosi,mama dany wa pili kutoka kushoto,mimi mwenyewe,aunt safina na aunt Ida

Baba dany wa pili kutoka kushoto


Daniel katikati akijiandaa kukata keki

Mama dany na aunt ODDY tukiwapatia watoto keki
Oddy pais blogspot inatoa pongezi kwa wazazi wa mtoto Daniel John kwa kuanda hafra hii fupi kifamilia,pia napenda kuwashukulu majirani walioungana na rafiki yao katika kusherekea siku yake ya kuzaliwa..Happy birth day baby boy.

No comments:

Post a Comment