Wednesday, September 19, 2012

NICK MINAJI KUWA NA PERFUME YAKE


Baada ya kupata deal ya Dollar Million $ 8 kupitia kuwa Judge wa America Idol, Kwa sasa Nicki Minaj yuko kwenye mchakato wa kutoa Perfume yake mpya ya Pink Friday alioitangaza toka mwezi wa Nane Mwaka huu. Fahamu kuwa Perfume hio inasimamiwa na kampuni kubwa iliyo simamia perfume ya Justin Barbie.Matangazo yameanza kuonekana mjini New York na sehemu tofauti Nchini Marekani na Perfume hio itaanza kusambazwa sehemu tofauti Marekani na dunia nzima mwezi huu.

Hili Ndio Tangazo Lake

No comments:

Post a Comment