Sunday, March 31, 2013

MWONEKANO MPYA WA CHUO CHA YMCA Kampala Branch

Hapa ndipo napoisomea course yangu ya Journalism and Mass Communication (JMC)...Ni chuo kizuri ambacho mbali na kukupatia Elimu pia kinafundisha maadil mema yanayoitajika katika



Mlango wa kuingilia ndani ya chuo
Mwonekano wa Chuo
Mi mwenyewe nikitoka Darasani

H awa ni baadhi ya wanafunzi wakiwa mazoezini



Mwonekano wa chuo

Hivi ni Viunga vinavyopatikana chuoni hapo Vinatengenezwa na wanafunzi waenyewe

Nikiwa nimejiachia



Bustani pia inahusika









Hizi ni hostel za watoto wa kike
Jamii ya muafrika.

No comments:

Post a Comment