Song:
Wazo La
Leo
Artist:
Stamina Feat Fid Q
Studio:
Bongo Records
Producer:
P
funk Majani
Song
Writters:
Stamina (verses) & Fid Q (chorus)
Intro...
U
know what majani??nice to meet you homie
Its
moro town baby,,,shorobwenzi
Verse
1.
(Stamina)
Elimika
nyangema, maisha hayaendeshwi na nguo
Pesa
ni vazi la mgema, haliwezi kuwa na mpasuo
Vaa
uaminifu,tupa boksi la kondomu
Hip
hop haijengwi na bifu,underground usijaze fomu
Maisha
ni kujipanga, mganga usigawe irizi
Viongozi
msizuie ganja, huku mnachukua ushuru wa rizz
Ridhiki
ina kamba, ivute ili ikupe noti
Mkulima
rudi shamba,dec mbegu siku hizi hazioti
Maisha
njia panda,mtembezi chagua pa kwenda
Uchumi
vazi la bwanga,ukishuka uvishe suspenda
Shiba
kwa nia,ukiwa mlafi wa malengo
Usikufuru
we shukuru ukifaulu kila tendo
Punguza
pupa,mpendaji uingie ndoani
Mapenzi
yamevaa bukta,uswazi mapaja hadharani
Usilale
kijinga,kwenye kitanda cha ushamba
Unaweza
kuwa shabiki wa samba,na ukaishi mwembe yanga
Chorus.
(Fid Q)
Hiki
kijiko unachokiona,baada ya kula kwa mkono
Ndomu
usiyoiona,mpaka ukishafanya ngono
Neno
la kuponya,lilokosa mdomo
Na
hili bonge la ngoma,kwenu kwangu ni kama somo
{Hilo
ndo wazo la leo}-inshu usingizi wa furaha,mzinzi jenga kibanda cha
angaza utoe nasaha.
{hilo
ndo wazo la leo}-usiishi kwa vikwazo,weka wazo kwenye vyanzo
vyako-{hilo ndo wazo}
Verse
2.
(Stamina)
Underground
panga tenzi,ustar hauji kwa promo
Hakuna
tajiri wa mapenzi,kapuku punguza ngono
Bora
uitwe mfalme jua,kwenye utawala wa kishamba
Mapenzi
yakikusumbua,tafuta daktari wa kitanga
Vazi
unaloishi,mwenyezi yeye ndio disegner
Shetani
akikushawishi, mvute kwake kama dayna
Dunia
duara,jitahidi uizunguke
Mla
bata starehe hasara,,wekeza hadhi isishuke
Huna
undugu na bakhersa,niaje aje unakula unga
Mateja
wanahitaji sensa,taifa la kesho linavunda
Dogo
jifunze,heshima sio upaparazi
Mwambie
na dada ajitunze,mlango wake asiuache wazi
Kama
unajijua ni mchoyo,basi usingoje kupewa
Tafuta
pesa kwa moyo,sio kwa ushindi wa ngekewa
Sharo
mpe salamu,the great braza kanumba
Mwambie
bongo sio tamu,na lulu bado wamemfunga
Chorus(fid
q)
Hiki
kijiko unachokiona,baada ya kula kwa mkono
Ndomu
usiyoiona,mpaka ukishafanya ngono
Neno
la kuponya,lilokosa mdomo
Na
hili bonge la ngoma,kwenu kwangu ni kama somo
{Hilo
ndo wazo la leo}-inshu usingizi wa furaha,mzinzi jenga kibanda cha
angaza utoe nasaha.
{hilo
ndo wazo la leo}-usiishi kwa vikwazo,weka wazo kwenye vyanzo
vyako-{hilo ndo wazo}
Verse
3.
(Stamina)
Utamu
wa ndafu ya harusi,sio wa ndoa we kilaza
Mbuzi
atabaki mbuzi,hata mle hadi mkasaza
Nchi
tayari imekonda,mwananchi tafuta ulaji
Life
ngumu hadi omba omba,kidonda anafanya mtaji
ukipata
mazuri,jipange kuikwepa hasara
kijana
vazi la msuli,haliwezi kukuvisha busara
ukiishi
kwa hisia,kila stone litakubanza
cha
msingi ni kuweka nia,ujivue kuwa mtanza
kata
ya kijiji,haibebi maji ya maendeleo
katibu
tunza mkwiji,msuli ukishuka kimeo
uchumi
umeshika tama,kwenye shavu la mlanguzi
raia
usilaumu chama,shiriki kwenye uchaguzi
unaweza
ukavaa kinga,ila ukafa kwa uaminifu
mzinzi
usigawe ujinga,sambaza ujumbe wasifu
hakuna
snitch kama pesa,ukiwa nae fanya vya maana
akiondoka
atakutesa,utamsaka usiku na mchana
Chorus.
(Fid Q)
Hiki
kijiko unachokiona,baada ya kula kwa mkono
Ndomu
usiyoiona,mpaka ukishafanya ngono
Neno
la kuponya,lilokosa mdomo
Na
hili bonge la ngoma,kwenu kwangu ni kama somo
{Hilo
ndo wazo la leo}-inshu usingizi wa furaha,mzinzi jenga kibanda cha
angaza utoe nasaha.
{hilo
ndo wazo la leo}-usiishi kwa vikwazo,weka wazo kwenye vyanzo
vyako-{hilo ndo wazo}
No comments:
Post a Comment