Thursday, November 22, 2012

Hongera yako baby gal kwa kupokea...your aunt loves you very muh

my swilly anamelemeta




wa kwanza kutoka kushoto mama chale rafiki wa familia,baby gal wity,na my dear ccter sylvia

Mumy,baby n dady..mmependeza sana


Oddy pais blog inakupongeza saana mumy kwa kapokea sakrament ya ekalisiti..pia inawapongeza wazazi wako kwa kukufikisha hapo...Mwisho nawatakia kheri na baraka katika familia yenu.

No comments:

Post a Comment