Tuesday, September 18, 2012

KUTOKA KAGERAHABARI BLOGSPOT;Umma wa watanzania uliofurika LINAS kuwaangalia wasanii wa BONGO MOVIE AKINA JB,JACLINE na ANTIEZEKIEL lakini wakaambulia patupu baada ya mambo kuwa ZIRO PLUS ZIRO.pole sana mlioingizwa mkenge.



 DJ Slay (kulia) wa pili kutoka kulia ni  Bi.Jane Zachwa, anayefuata ni  Abera Kamara a.ka MALIKIA na mwisho ni  Bi.Jane Zachwa ambaye ndiye Chief Judge wa shindano hili huku hao wengine wakisaidiana naye katika shughuli nzima ya kuaji ijapo dukuduku lilitanda kwa umma uliofika kuchungulia shughuli hiyo kama majaji wana elimu kiduchu juu ya mambo ya sanaa mi SIMO hiyo ilikuwa minongono TU.BASATA kazi wanayo.
 Pamoja na majaji wengine










 group la  wasafi clasic la Kagera wakiwaza plani B baada ya kujitokeza mizengwe ya kutaka kuwachakachua elfu sitini malipo ya shoo yao.
 burudani ilikuwepo ila siyo ile iliyo haidiwa kwahiyo bado mambo yalibaki kukwa...............



No comments:

Post a Comment