Tuesday, January 15, 2013

BONGO MOVIE UNITY KUZINDUA KILIMO KWANZA KONDOA DODOMA




Baada ya kufanya vizuri katika tasnia za filamu hapa Tanzania wasanii wa bongo movie Wema,Irene Uwoya,Rich,Ray wameonyesha moyo na ushirikiano wao katika kuzindua kilimo kwanza mkoa wa Dodoma kondoa.Hizi ni baadi ya picha ambazo zinaonyesha wasanii hao wakizindua kilimo kwanza mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment