Friday, September 14, 2012

SASA ANAKUJA NA MKOKO WA BMW

Msanii wa kike anayeongoza kwa kupiga mashoo majuu,
chezeya Lina wewe leo atakwambia yupo Tanzania,kesho Us kwa mwezi mzima
 na kwa sasa yupo Uk anavinjari
                                    Linah Sanga..msanii wa bongo fravour
endelea kufanya kazi wangu acha wapiga majunguu wakomae kwa umbea

No comments:

Post a Comment