Saturday, October 20, 2012

BANGI KUMPANDISHA WEMA MAHAKAMANI


Septemba 28, mwaka huu, Wema na ‘bodigadi’ wake huyo walikutwa na misokoto ya bangi na kuwekwa nyuma ya nondo katika Kituo cha Polisi cha Kijitonyama ‘Mabatini’, Dar na kufunguliwa kesi yenye Kumbukumbu KJN/RB/7922/2012; KUPATIKANA NA BANGI.

No comments:

Post a Comment