Saturday, September 15, 2012

MSANII PIPI AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME

Yule mkali wa kibao NJIA PANNDA along side Barnaba  boy amejifungua mtoto wa kiume aliyempa jina la KINGSTONE, ameilezea furaha yake leo hii kupitia ukurasa wake wa facebook akiwa hospotal.

                                           Msanii pipi akiwa na bonge la smile

No comments:

Post a Comment